21 research outputs found

    Sifa za Kimuundo Katika Diwani Huru ya Rangi ya Anga

    Get PDF
    Makala hii inalenga kuchambua na kutathmini sifa za kimuundo katika diwani huru ya Rangi ya Anga. Sifa za kimuundo ni muhimu katika kuudhibiti usomaji wa mashairi teule na kumwelekeza msomaji katika kuuelewa ushairi. Ijapokuwa tafiti nyingi zimefanywa kuhusu muundo katika mashairi, pana haja ya kuchambua sifa za kimuundo katika ushairi huru hasa diwani huru ya Rangi ya Anga. Utafiti huu ulitumia nadharia changamano: nadharia ya uhakiki ya umuundo na nadharia ya uhakiki wa kimtindo. Nadharia ya uhakiki ya umuundo iliasisiwa na Ferdinand De Saussure karne ya ishirini. Mawazo yake yaliendelezwa na Culler (1975) aliyeangazia umuundo katika ushairi. Alisisitiza kwamba ushairi ni ishara zinazojisimamia bila kudhibitiwa na mtunzi na ufasiri wa maana unatokana na namna vipengee vya kimuundo huchagizana kimaana. Kutokana na nadharia hii kutokuwa na urejelezi wa nje, nadharia ya uhakiki wa kimtindo ilitumika kufidia udhaifu huu. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya uhakiki wa kimtindo iliyoasisiwa na Coombes (1953) na kuendelezwa na Leech (1969). Mihimili mitatu ilitumika kuuongoza utafiti. Mathalan, viwango vya kimofolojia na kisintaksia ni msingi mkuu wa lugha unaodhibiti matumizi ya lugha, matumizi ya maumbo ya picha huonyesha umilisi wa mtunzi katika kuelezea hisia zake na vipashio mbalimbali vya muundo huingiliana na kujengana. Utafiti huu ulitumia sampuli ya kimaksudi kuteua diwani huru ya Rangi ya Anga (2014) kutokana na matumizi ya miundo tengemano na wepesi wa mawazo ya mtunzi. Uhakiki wa sifa za kimuundo ulizingatia sampuli ya kimaksudi ya mashairi teule, tasnifu, majarida na tahakiki. Data ya pili ilijumuisha mahojiano na mtunzi Kithaka wa Mberia. Matokeo ya data yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo. Yalionyesha kuwa sifa za kimuundo ni za kimsingi katika utunzi wa mashairi teule, ujenzi wa wizani na kudhibiti usomaji. Utafiti huu unapendekeza wasomaji wa ushairi huru wazingatie sifa za kimuundo ili kuufasiri ujumbe ipasavyo.Makala hii inalenga kuchambua na kutathmini sifa za kimuundo katika diwani huru ya Rangi ya Anga. Sifa za kimuundo ni muhimu katika kuudhibiti usomaji wa mashairi teule na kumwelekeza msomaji katika kuuelewa ushairi. Ijapokuwa tafiti nyingi zimefanywa kuhusu muundo katika mashairi, pana haja ya kuchambua sifa za kimuundo katika ushairi huru hasa diwani huru ya Rangi ya Anga. Utafiti huu ulitumia nadharia changamano: nadharia ya uhakiki ya umuundo na nadharia ya uhakiki wa kimtindo. Nadharia ya uhakiki ya umuundo iliasisiwa na Ferdinand De Saussure karne ya ishirini. Mawazo yake yaliendelezwa na Culler (1975) aliyeangazia umuundo katika ushairi. Alisisitiza kwamba ushairi ni ishara zinazojisimamia bila kudhibitiwa na mtunzi na ufasiri wa maana unatokana na namna vipengee vya kimuundo huchagizana kimaana. Kutokana na nadharia hii kutokuwa na urejelezi wa nje, nadharia ya uhakiki wa kimtindo ilitumika kufidia udhaifu huu. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya uhakiki wa kimtindo iliyoasisiwa na Coombes (1953) na kuendelezwa na Leech (1969). Mihimili mitatu ilitumika kuuongoza utafiti. Mathalan, viwango vya kimofolojia na kisintaksia ni msingi mkuu wa lugha unaodhibiti matumizi ya lugha, matumizi ya maumbo ya picha huonyesha umilisi wa mtunzi katika kuelezea hisia zake na vipashio mbalimbali vya muundo huingiliana na kujengana. Utafiti huu ulitumia sampuli ya kimaksudi kuteua diwani huru ya Rangi ya Anga (2014) kutokana na matumizi ya miundo tengemano na wepesi wa mawazo ya mtunzi. Uhakiki wa sifa za kimuundo ulizingatia sampuli ya kimaksudi ya mashairi teule, tasnifu, majarida na tahakiki. Data ya pili ilijumuisha mahojiano na mtunzi Kithaka wa Mberia. Matokeo ya data yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo. Yalionyesha kuwa sifa za kimuundo ni za kimsingi katika utunzi wa mashairi teule, ujenzi wa wizani na kudhibiti usomaji. Utafiti huu unapendekeza wasomaji wa ushairi huru wazingatie sifa za kimuundo ili kuufasiri ujumbe ipasavyo

    African Linguistics in Central and Eastern Europe, and in the Nordic Countries

    Get PDF
    Non peer reviewe

    LUGHA KAMA KITAMBULISHO: CHANGAMOTO YA “SHENG” NCHINI KENYA

    No full text
    Makala hii inajadili suala la lugha na utambulishaji wa utamaduni. Inasisitizwa katika makala hii kwamba iwapo lugha itachukuliwa kuwa ni kielelezo na nyenzo ya utamaduni wa kitaifa, basi, katika muktadha wa Kenya ya sasa, kielezo hicho kinatetereka kutokana na hali ya kutatanisha ya lugha nchini humo. Utata huu unadhihirishwa na kuzuka kwa msimbo wa vijana uitwao’ “Sheng” ndiko chanzo cha utata huo wa kilugha na kitamaduni, na makala inasisitiza kuwa hali hii ni ishara ya vijana kutokuridhika kitamaduni katika jamii ya kisasa. Makala inamalizia kwa kueleza haja iliyopo ya kuunda upya sera ya kitaifa ya lugha itakayofafanua hadhi na majukumu ya lugha za kigeni kama Kiingereza kwa upande mmoja na Kiswahili na lugha zingine za kiasili kwa upande mwengine

    Athari ya Washairi Wakongwe Juu ya Washairi wa Kisasa: Mfano wa Muyaka Bin Haji na Ahmad Nassir

    No full text
    Kwa kutumia vichwa vya mashairi, umbo na mtindo, msamiati na maudhui, makala hii inavitambulisha baadhi ya vipengele vya usanifu vinavyopatikana katika ushairi wa Muyaka wa Muhaji na jinsi ambavyo vipengele hivyo vimeathiri, kila kimoja kwa kiasi chake, ushairi wa Ahmad Nassir katika diwani ya Malenga wa Mvita. Makala inatumia tungo za Muyaka zilizochambuliwa na Mohamed Hassan Abdulaziz na kuchapishwa mwaka wa 1979. Humu mnaonyesha kiwango cha athari za ushairi wa Muyaka na kuthibitisha jinsi mvuto mkubwa na usanifu wa tungo za Muyaka ulivyowapendeza washairi wa karne ya ishirini kama Ahmad Nassir

    Pitfalls in Kenya's postcolonial language policy: Ambivalence in choice and development

    No full text
    Kenya's trifocal language policy is discussed with particular reference to the challenges andopportunities that African states have to grapple with in establishing a sound and workablelanguage policy that will meet national and international needs. It is argued that fundamentalquestions have yet to be given serious attention. The focus of the discussion is on languageuse in education, but reference is also made to parliament and the media. A solution to thecomplex problems in Kenya cannot be found in the adoption of a national or officiallanguage. It is essential that particular roles and functions continue to be assigned todifferent languages, with appropriate provision made to equip citizens to use the variousindigenous languages effectively for these purposes. The role or status enjoyed by anylanguage should be complementary to those of the other languages and should also bedetermined by the prevailing socio-political needs and realities. This should make it possibleto ensure that all Kenya's languages will enjoy desirable freedom to develop and expand.In hierdie artikel word 'n aantal probleme wat eie is aan die onderrig van Arabies in Moslem privaatskole in Suid-Afrika en Botswana bespreek. Daar word spesifiek aandag gegee aan onderrigaspekte wat instrumentee! is tot die leerders se onvermoe om 'n mate van kommunikatiewe bevoegdheid in Arabies te bereik en om die Koran met begrip te lees (ten spyte daarvan dat dU 'n belangrike doelstelling met die onderrig van Arabies is). Vit 'n ondersoek wat met behulp van vraelyste gedoen is, blyk dit dat die meerderheid Arabiese onderwysers nie vertroue het in hul eie taalvaardigheid en hul vermoe om vlot in Arabies te kommunikeer nie. Daar word ook aangedui dat onderrig hooftaaklik gebaseer is op die grammatika-vertaalmetode, die aanleer van nuwe woordeskat en die leer van grammatikareels. Dit blyk ook dat die meerderheid onderwysers van mening is dat leerders Arabies bestudeer vir religieuse doeleindes (om die Koran te kan lees) en daarom nie soseer ingestel is op die ontwikkeling van kommunikatiewe vaardighede nie, maar eerder op die nodige woordeskatuitbereiding en grammatika wat hulle in staat sal stel om die formele taalgebruik van die Koran te kan verstaan.</p

    Technical report on "a socio-linguistic study of Swahili taarab songs"

    No full text
    Project number related to IDRC support could not be determine

    Sifa za Kimuundo Katika Diwani Huru ya Rangi ya Anga

    No full text
    Makala hii inalenga kuchambua na kutathmini sifa za kimuundo katika diwani huru ya Rangi ya Anga. Sifa za kimuundo ni muhimu katika kuudhibiti usomaji wa mashairi teule na kumwelekeza msomaji katika kuuelewa ushairi. Ijapokuwa tafiti nyingi zimefanywa kuhusu muundo katika mashairi, pana haja ya kuchambua sifa za kimuundo katika ushairi huru hasa diwani huru ya Rangi ya Anga. Utafiti huu ulitumia nadharia changamano: nadharia ya uhakiki ya umuundo na nadharia ya uhakiki wa kimtindo. Nadharia ya uhakiki ya umuundo iliasisiwa na Ferdinand De Saussure karne ya ishirini. Mawazo yake yaliendelezwa na Culler (1975) aliyeangazia umuundo katika ushairi. Alisisitiza kwamba ushairi ni ishara zinazojisimamia bila kudhibitiwa na mtunzi na ufasiri wa maana unatokana na namna vipengee vya kimuundo huchagizana kimaana. Kutokana na nadharia hii kutokuwa na urejelezi wa nje, nadharia ya uhakiki wa kimtindo ilitumika kufidia udhaifu huu. Utafiti huu uliongozwa na nadharia ya uhakiki wa kimtindo iliyoasisiwa na Coombes (1953) na kuendelezwa na Leech (1969). Mihimili mitatu ilitumika kuuongoza utafiti. Mathalan, viwango vya kimofolojia na kisintaksia ni msingi mkuu wa lugha unaodhibiti matumizi ya lugha, matumizi ya maumbo ya picha huonyesha umilisi wa mtunzi katika kuelezea hisia zake na vipashio mbalimbali vya muundo huingiliana na kujengana. Utafiti huu ulitumia sampuli ya kimaksudi kuteua diwani huru ya Rangi ya Anga (2014) kutokana na matumizi ya miundo tengemano na wepesi wa mawazo ya mtunzi. Uhakiki wa sifa za kimuundo ulizingatia sampuli ya kimaksudi ya mashairi teule, tasnifu, majarida na tahakiki. Data ya pili ilijumuisha mahojiano na mtunzi Kithaka wa Mberia. Matokeo ya data yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo. Yalionyesha kuwa sifa za kimuundo ni za kimsingi katika utunzi wa mashairi teule, ujenzi wa wizani na kudhibiti usomaji. Utafiti huu unapendekeza wasomaji wa ushairi huru wazingatie sifa za kimuundo ili kuufasiri ujumbe ipasavyo.</jats:p
    corecore